Sijasota kwangu binafsi

Kuna ninja flani (beste wa third row,sio kiti cha kwanza) alinikopa jana nkamshow nko ile state kenya iko. Sasa katika zile ziara zangu za kupea mwili shukran(ofcourse kupewa kadhaa) ninja akanispot na akanikuta kuniuliza mbona nkamkataza mkopo… Ilibidi nimemshow sijasota kwa mwili wangu ni vile tu ya kukopeshana imeisha. Akanyamaza na kujitoa… Wadau hapo nko sawa ama nlikosea???

Keti-----

Mungu alikuona

paleeeee…
[ATTACH=full]169598[/ATTACH]

[QUOTE… Ilibidi nimemshow sijasota kwa mwili wangu ni vile tu ya kukopeshana imeisha. Akanyamaza na kujitoa… Wadau hapo nko sawa ama nlikosea???[/QUOTE]

Pesa ni zako so don’t feel guilty. For all you know he probably wanted to go buy beer too

Lending money to a friend is a real catch 22 situation.
You know very well you are most likely to lose one.
The money or the friend.
Suluhisho ni kukaa ngumu liwe liwalo.

Hio pombe ulikunywa na ukaikojoa, while rafiki anaweza kuokolea siku shida imegonga hodi… Tafakari ya babu.

huku sio kituo cha polisi kule umezoea ordering mahabusu,hapa utajua hujui

xoxo mathighs,a friend in need is a friend indeed

You think so?
Many friends are only there for what they can get from you?

Huyo friend alikuwa ameenda kwa bar kutafuta mkopo??

Nijea

Ungemwambia ,to go to and report you,to the authorities.SAITAN

Uko Sawa u don’t have to carry everyone laggage