Sign

Saw this sign somewhere in Jamia Mall. What does it mean?

1 Like

Cc @Zakkkkkkk, @Bingwa_Scrotum

1 Like

Wadhu haikubalishwi. Wadhu ni kunawa uso, mikono, kichwa na miguu as a form of cleansing

2 Likes

This sign is very appropriate when working or sharing working space with waislamu.wako na tu tabia twingine irritating and this is one of them.Unaenda washroom unapata maji all over the place na ilikua safi afew minutes ago.Ama unaingia unapata kimtu kimeingiza mguu ndani ya sink and he expects ou to not find anything unusual with it.

5 Likes

Heard wakipata tap ya Choo haina maji kuna mwingine alijaribu kuclean mcea kwa Ile tap iko kwa mirrors

wasomali

1 Like

Ni waislamu in general.Normally they have to wash their feet during their prayers

1 Like

Before prayers and sleep