Saa kuna hii site ya news mi hupenda sana but wanakuwa na limit ya kusoma a max of ten articles a week. That hasn’t been a problem coz huwa naenda pale settings ya browser na kuclear browsing history, cookies and cache limit ikiapproach na inakuwa sorted. Shida sasa ni kama wamejanjaruka saa hii that trick isn’t shit! Is there a way to fix that?
Dafuk! Kwani ni FT?weka link, meffi.
Ni NYT…nawaza ona homepage but nikifungua articles inaleta browser error message
The New York Times - Breaking News, US News, World News and Videos
1 Like
Just pay a subscription fee kama wanakuitisha ili usome more articles, no tricks. Otherwise try other news sites which are free for peasants like us.
toa pesa ulipee upewe services zako ama ujanjaruke…mjinga akiereveka mwerevu…
Most sites kama nyt na wsj ukigoogle the article, uingie via google you’ll be allowed to view the article. Ikileta shida sana tumia private browsing.