Side mirror, Fielder S.wagon 2012

Please help, nimevunjiwa side mirror ya Toyota Fielder 2012 new shape kwa kwa jam.bei yake inarange how much?

Ni side mirrors imevunjika ama ni handle yake? side mirror ni 14k na handle ni 5k. So kama ni handle imevunjika sio lazima ubuy mirror mzima

Imevunjika tote side mirror.

Patia chokosh order utapata replacement within hours.

Handle unatengenezewa na watu wa fibre

nani mevunja side mirror ya msito!