si niliwasho narudi ocha.

na sirudi tao.
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/narudi-ocha.65111/
zinakam, kukam @mukuna what next[ATTACH=full]164231[/ATTACH][ATTACH=full]164233[/ATTACH]

I still remember when The Great Jomo Kenyatta requested us Turudi mashambani, Mimi nilirudi mara hiyo hiyo, I have never looked back again.
Congrats @hakimoto, way to go.

You will be at the Top of the food chain kule Ocha - Village Sponsor!

Kunguru za Nairofi watakuangamiza, run…
:smiley:

Attach picha vizuri haki baridi

Meffi hutuoni mbisha

Mbisha enye umeattach ndiyo hii?
[ATTACH=full]164232[/ATTACH]

Where is that @hakimoto? Nafkiri secret ya ukulima ni kujua market vizuri. If you harvest the same time as the rest utaumia. Same goes to nyanya. A crate can go upto 9k but can as well be bought at 800/-

its in naeregia near ntulele, Mimi bado ni mono hii mambo

May God bless you, we need more people like you

Swafi sana. Don’t give up even if don’t do so well in your first season. The lessons will be invaluable. Farming requires patience.

Way to go ma bru, hata Mimi nilisema wacha hio Nairobi ikae.

Soba lalashe?

Naona mali ya maana mkuu!

Hongera sana aisee…

Ila usije kula mtaji…maana totoz za Kenya zisione chapaa za kushiba mahali!

Ai Mbosi We, how old are you my brother? Ama you mean when he spoke to us through books of history?