Who has done it. I’m thinking along the lines of secured loans where the customer has to leave collateral for the loans.
Sasa tofauti yako na benki itakuwa gani? The only way to carve out a slice of the lending business is to be willing to take more risk than banks.
How much are you willing to be a thug kwanza?
without security people will default
yes
Become leader wa mungiki kwanza . Ama Gaza or some crazy gang ,then you will be good for Business.
You will have to work with auctioneers, register the business as a credit only micro finance. To grow your business ensure you have a good relationship with your customers na usiwafinye na pia be very strict.
It’s very profitable. Suppose unakopesa mtu thao inarudi na 300 bob interest, ukikopesha ten people walipe na wiki Moja utakuwa na 3000 profit. Implying that after three weeks at that rate utakuwa umerudisha your initial capital ya 10k…
Hebu jaribu kaka
Not a must. Cheza clean game and customers will trust you. You can focus on the already employed na ujenge jina
The big deal si kupeana pesa , kudai Dio shida , to get people to pay is where the devil lives.
Ther is already a business model mtaani loan on items.
Be nice in Kanairo upigwe charcter development mwenda. I’d balance in between
You hire employees to do the heavy lifting. Kazi Yako ni kuhesabu faida and pay them a commission. Customer kama analeta mchezo unauza collateral. Lazima agreement iwe mpangoni. Kwa mfano anawacha log book na gari kwa yard. Na pia uwe mjanja usitapeliwe na log book fake…
Collateral ni lazima, log book ya gari. Title deed mtu anaweza oshwa :D.
Log book ni safe na gari kwenye yard for an agreed amount of time. Akikosa kulipa interest inapanda Hadi anashindwa kulipa deni. Unauza gari kwa bei nafuu and make an abnormal profit :D:D
Sasa hiyo heavy lifting who does it better. ???! Those jamaas visit you once the next day unalipa. Who else ???
For cars, kuna venye wanafanyanga ntsa, same thing banks ziufanya. Hiyo gari haiwezi transferriwa bila approval yao. So ata kama logbook ni fake kwa ntsa wakona insiders na portal haitaallow iyo gari ifanyiwe kitu bila wao.
Wewe anzisha tu biz ya logbook loans. Anything deeper than that IQ yako ni kama haiwezani
Just do the kawaida loan on items wachana na mambo ya logbook . kua na an agreement and mtu akue na receipt ya item analeta
Employees. Your work is to develop them to work for you. I have a friend anachapa job kwa credit only MF, alinishow masos hukuja na log book ya range Rovers wanakopa half a million kuendelea na wanalipa deni. Hupeani pesa kiholela but after proper analysis of the financial performance of the customer
Anzisha na target kwanza wamama wa sokoni uwape small credit hao Huwa faithful na usiwafinye juu cash flow wako nayo.
Niko na beste yangu alikuwa ameanzisha hii bizna eldy ilikuwa imepick makosa alifanya ni kuanza kuishi lifestyle sio yake na hivyo ndivyo biashara ilianguka na jamaa akasota vibaya.saa hizi ukimpata atakucon na alikuwa jamaa mpoa.