Shughuli ishaingia mvua, watu wanakula wima.

Jamiiforum inapitia kipindi kigumu. Naungana na wanaolaani jamiiforum kuminywa na kujaribu kunyang’anywa Uhuru wake.

nami ninalaani kitendo hicho.

Wachache wanafurahia kitendo hicho na wanapata usingizi mtamu kuskia Jf imefungwa.

Uchawi sio mpaka uroge,hata kumnyima mtu uhuru ni uchawi

ccm ni janga la dunia haya majitu akili zao sijui zipo wapi?

Time will tell…

Cc: @Mahondaw