…health on its knees…na mgonjwa ako ndani
[ATTACH=full]85367[/ATTACH] [ATTACH=full]85368[/ATTACH]
kwani madaktari nyinyi ndio huendesha ambulance , kunja mkia kwa ospitol ungojee wangonjwa na hatuwaongezi mishahara
Tuone ka watu sasa watasema ni madaktari wameiba mafuta ya gari ndio watume hizo ambulance to their own private petrol stations…
…incase of anything eg an accident, one is likely to be rushed to the nearest public hospital before they are reffered to their preffered hospital of choice which is supported by their covers…
@uwesmake…you here fighting improvements in the public sector yet by bad luck you can find yourself there…
Who is to maintain those ambulances?
Kushtua na mafuta zinarelate aje??
@uwesmake is not someone you should reply to expecting a logical conversation. Yeye ndio village idiot. Lakini hana ubaya hapo ndio akili yake imefika aki jaribu sana.
Whatever the reason, my main point doesn’t change.
Lakini kusema ukweli madaktari watakubali lini they’ve been holding onto a dead document when even the signer has told Parliament he was not authorised to sign? Sikatai walipwe but let things be done legally.
Wewe unajua how long it takes to get anything through our courts. Sasa waanzishe CBA ingine saa zenye people are still dying? Then wait another 3 years to strike again for bettter conditions. Si tumalizane na hii kitu saa hii and never speak of it again.
W
Wachukue ile 40 wakullage hiyo wakiongea. Hakuna file serikali ita-implement might illegal…
Your point being?
Can’t relate, my health is in God’s hand
Saa ii gari inasukumwa wapi, mbele ama nyuma
hakuna kitu serikali ita sign apart from the 40 thousand mumekuwa offered , kwanza wewe quack vile hujalipwa miezi mbili kuja nikupee kazi ya kufyeka hapo kwangu .
The problem will not be solved. This kind of piecemeal resolution is what is bothering education. Wanapewa kitu wanarudi after 3 years wanarudi tena. Mtoto anapitia shule kama ameona strike mbili au tatu. Let’s stop this. We don’t want another strike in the medical sector and the only way to avoid it in 2020 is if we implement it.
Damn…, okay… people find a way of making every issue wrong in hospitals the doctors’ fault, and I would’ve enjoyed seeing someone twist this one as well, whether ni mafuta or whatever mechanical issue.
Are you then saying they should continue holding onto a dead skunk?
…disclaimer…those photos are circulating on the net…for more photos look for the post
Take it easy.