Should we compare Kenya and Rwanda/Tanzania really?

[MEDIA=twitter]1639321052613312528[/MEDIA]

Let’s ask @T255

Hiyo ya kenya iko kiambuu na nyairobi, mimi kama azimio nataka equal distribution of wealth, tukutane monday.

:smiley:

South Africa ni wazito mbaya sana

So hakuna kitu Congo DRC inatoa… With all the coltan and gold

They do. Then it’s sold and the leaders keep the proceeds. Nothing ever goes to the government

Kagame ameiba yote.

This statistics huwa za ajabu.

Burundi,the poorest nation in Africa,is more food secure than naija,the biggest economy

These are embarrassing figures in a continent of 1 billion wadau. Less than 50k dollar millionaires aje sasa. Ebu eka figures za America ama China utashangaa

With a few acres of land in Burundi and some capital, am good.

This ignorance makes Kenyans continue to be slaves of the late Queen Elizabeth

@mlipuayote Asante sana. Sikuwa najua hii site. Sasa nimejua.

Afrika nzima wababe ni wa5 tu. Back bencher tulia

What about Tanjania