Should I call the police on him?

My neighbor beats his wife at night and you will hear her screaming till people come to beg him. Wait for it. The same night, you will hear him praying so loud(purposely) saying “God forgive me, you know I told my wife not to…that’s why I beat her” Does it every time.

Mnunulie ii [ATTACH=full]235687[/ATTACH]
Wamalizane

NV meffi wewe

Labda ni bibi anamchapa huku bibi akipiga nduru

Endeleeni kunyamaza…halafu mtaenda kuchangia majeneza.

mwitie polisi otherwise if the wide dies you’ll be an accomplice to a crime of killing

Nynyi pia chapeni hiyo burukenge, aache umefi

BULLSHIT!!!

Can’t happen. But guilt will consume those neighbors for knowing that they could have helped but never did.

usiingilie vita ya watu wanajifunika na blanketi moja boss…

pale eastleigh nikiwa bachelor,kuna jamaa aligotwa na jirani kama burukenge ju ya kutandika wanawake kwa keja yake,alikua na ile dominance akilewa,Jirani alimngojea sunday 5pm saa ile hangy imeisha,ile panel beating alipatiana ilibidi aamuliwe,alipatia jamaa onyo kali sana,akiskia kupiga mwanamke atoke inje aanzane na mwanaume kwanza

:D:D:D:D:D penda saaaaana.

:smiley: :smiley: :smiley: Hawa ni alpha males bandia wa Ktalk, beating on a woman.

Nyamaza. Huyo bibi si anajua directions za police station? I don’t pity people who can’t think. She is an adult and it is her decision to stay in that abusive marriage.

Next time record an audio ulete village elders ndio tufanye uamuzi…unaishi plot 10 au leafy suburbs?

masaibu hayo hungeapata ungekua na nyumba yako. acha kulala ploti, jijenge.

Watu wamelala uchi achana nao kabisa. Shika shughuli zako. Do you think the lady hajui sheria?

Kwenu watu wamejijengea hawananga neighbors !

Ama ni BDSM

in older estates za nairobi watu hujuana na hata nyumba kumi works…hizi vitu zinajazwa hapa pipu and its likes ndio ziko na hawa mafala wanajifanya na individualism ya ujinga

You should call the police before he does something he can’t undo. Better still, kama you have a few neighbours, its better to talk to him. I dont know how things have changed reporting such matters to the police now, but I remember siku ingine nilikua nimechapwa vibaya sana. Tukaenda kuripoti, after waiting nearly all day with nunulia gari mafuta, mdosi anatakanya lunch etc, we finally made it to the culprit. When the cops knocked, culprit alifungua tu mlango and all we heard after a short while is this is domestic issue, hebu skizaneni. God, tulishangaa, they even left us at the doorstep yake. My bloodied blood went home wondering whats next.
Long story short, afadhali kumuongelesha if you can as neighbours.