Shortcut ya FTA...

Just came across this huko kwa Zukabaga. Wenye huulizia about unscrabbling locked channels jaribuni bahati na mlete majibu.
[ATTACH]197189[/ATTACH]
[ATTACH=full]197190[/ATTACH]
[ATTACH=full]197191[/ATTACH]

@Chloe mwikali hakuna kitu umesaidia hapo…

details mkambodia…

Hauoni screenshot hapo juu, ama uko murefi?

Sio urefi, hio ni kutupa pesa, kama sio DIY wacha ikae…hayee! Nalea piu!!..

[ATTACH=full]197192[/ATTACH]

Niaje Mwikali?

hiyo yote ni umeffi run run nilibuy but ni shit 2

Nilikuwa na hii file ikaharibu tv yangu. Don’t try this shit. Doesn’t work.

Hellen.

Naomba nikunyonye pris

Don’t even think about it.

hii ni con game.

nlitumia mjamaa 400 akanibrok immediately. …ntamuweka NATO ya kichwa nikimuona mushenzi

Noogle wewe, FTA means free to air, scrambled channels hakuna vile unawes kufungua (unless uko hapa https://www.kenyatalk.com/index.php?forums/fta-and-iptv.23/page-3 )
ingia hapo usome vizuri alafu urudi tukusaidie

[ATTACH=full]197257[/ATTACH]
to unscrable the channels you need a setup like this,

Saidia mimi tafasali

Hizi ni kama zile dish za posta, what do they still do with them anyway?

God knows.