Short Trip Out of Town

Hello, I need some advice.

I wanted to take someone out of town for a trip and spend the night with them. Does anyone know of a place or places out of town that are not so far, cause I don’t have a car, and isn’t expensive ?!

kulia vitu kwa nyumba yako wacha stress mingi. Ama unaishi kwa wazazi?

Thika is 40min away.
100 shillings by matatu.
A decent Lodging hapo town ni 1000-2000
Chakula weka budget ya 200pp (pilau, ama chapo na kadhalika)
Condoms ni 50bob

Romp your night away.

Maswali za ujinga hatutaki hapa

Editor mkuu, kwani ngaseti ilienda wapi? Ama printing press yako ilifungwa na Matiang’i wa Ktalk?

@Bingwa Scrotum … grow up!

Buskut alitoroka na printing ink na @pamba hataki kumshika amekula rushwa

half term imeisha bana,toka kwa hio cyber ukimbie shule kabla gate haijafungwa

Thanks alot. I’m not that outgoing so this helps.
Those matatus or shuttles, napanda wapi ?!

kwa steji

Unapandia kwa stage, jinga.

Alaass

Iko nini?

To answer your next question,condom nunua kwa chemist,usinunue kwa kibanda

Save io pesa ununue gari ukue unawakulia apo ndani kasee. Quick maths.

Tunajua huyo jamaa anashida zake lakini mpee amani

Panda gari uwapeleke syokimau mkaone sgr halafu mrudi:D:D:D:D

Hii peasant ni ile inaturushianga gaseti za free kwa jam ndo imesota ama ni gani hii iko na printing press:D:D:D:D

Unanuka mavi sasa

:D:D:D:D:D:D:D

Kwa stage ya gari za Thika