Suggest short courses I can do this year as I look for better opportunities. Been trying to apply jobs in my career line lakini napata regrets kama zote. We resume on Monday so Sunday jioni naburuka kuenda Naks.
following
Mimi nataka za AI, micro learning kila siku 30 minutes … alafu naingia za cleansing cornea, wangapi threads etc
Probably won’t do you good since it’s so easy for anyone else to do it
practice kuosha choo ukuwe the best toilet cleaner, then ujinyakulie moja ya kanju ile chafu zaidi, utakuwa unaingiza 10k daily, kazi ile mingi kwako itakuwa kucount coins usiku.
na io skill hakuna watu wengi wako nayo, hutakuwa na competition.
Fundi wa. Mbao one month ukiwa mtu wa mkono.
Enda tafuta sabrina_romanov huko instagram uone options za getting professional AI trainning for free
Pata skills for a blue collar trade skills kama apprenticee unalipa fundi ,welder,tailor or online eriting/transcription kama 5k a month.You learn a valuable skill that u can open your own side hustle not depending on factors outside your control.There is guy is a civil engineer but he taught himself epoxy woodworking on youtube as a passion.
Anauza dining table ya epoxy 385k
Alafu sio peasant

