Kwani lazima waishi huko? If you don’t like the situation you move. Soon there’ll be so many vacant houses that the landlords will have to invest in value addition to attract tenants. Lakini kama kuko occupied ata na hizo sewage, what motivation do they have to improve the situation?
Boss enda mlango kubwa, single ni 6k, sewer line imeblock ukiingia flat. Baridi like fwack, ever wet, neighbour’s ni Mathare ghettos. Usiku wezi. I wonder what would motivate me to live there
Nilikuwa na enda kuosha mwiko huko parking ni shida ! matope ata january haiishii , but I heard Babu has done some roads , haven’t been there since nitupe number ya mkamba wangu !
@poyoloko huzalisha ile chokora Bibi yake a baby swinelet kila mwaka . Imagine a poor dog giving birth like there is no tommorow and the way swine mortality rate is high
maze kunakuwanga na ploti za gorofa zenye ma landlord wamekubaliana kutoboa ukuta - unaingia hii end unatokea ile end ingine having gone through like 4 plots in between.
manyumba za 1st floor na 2nd floor zote ni maduka, salon na bar za keg na stima huwa hazizimwi 247365 mse. ni kama shopping arcade ya isilii lakini ina foot traffic kama 100 times over.