Where do you talkers buy nice formal leather shoes? budget ni maximum 5k per pair.
Manix ama House of Leather
kwa woriah
5k kiatu ya mwanaume? any backyard shoes pale bandari westlands lakini hiyo pesa yako ni kidogo.
Only platform ziko mingi sana nowadays, just search kwa FB pages
Bata ununua the Ambassador brand.
last time nilibuy bata…
Enda bata kuna variety,some are executive shoes and cost below your quoted price by 1k or so
Bata ! Noooo,thise shoes got bo sole !
Bata. Hush puppies. Thank me later
I usually get my shoes from Istanbul,Pure leather and comfortable.
Viatu vya Bata one,
Viatu vya kudumu two,
Viatu vya kisasa three,
Kwa jamii nzima.
Gikosh.
nunua safari boot serre!
Ends Eastleigh, amal mall. Price range in 3500-4 k
Vile @kingolonde amesema
kuna mzae huunda official leather shoes place flani hapo nje ya Kamukunji mosque. Very durable shoes and also affordable.
Incidentally, is Ashieng’ Footwear still around?
Uyu Ndio amejua …bata shoes are overpriced yet you can quality @ reasonable price.
[ATTACH=full]91786[/ATTACH]
Nunua hii na ikifika 7pm hujaingia kejani anavua unaituma kwa nyumba na G4s kama parcel [ATTACH=full]91791[/ATTACH]