SHINNING Pale JKIA

Kungu the Pirot has already reported for duty

[ATTACH=full]228158[/ATTACH]

Kuna vile hiyo mdomo inakaa kama ishawaii mumunya omena mbichi… IsAKavirondo

737?

Boeing 787

No sir, its a 737

Huyu ni jamaa mrefi wa Mushatha aliamua tu kupiga picha kwa cockpit ya ndege.

Naona ako na job tag

Uko right ameshika knob ya displays. Sijui mbona haja adjust side mirrors:D:D:D:D…

hahahahahahaha

Engines are hot BTW. This is a real pilot. Huwezi kalia hapo for a photo moment when the auxiliary power unit is on. Unless you want an accident at the apron kama ile ya Embraer za KQ juzi.

https://www.youtube.com/watch?v=yY-cZew2xTc

What is this? Nyinyi ndio mnaangusha tajriba ya kenyatalk

maintenance