Shiko Part 1

In 2018, I used to work as a matatu conductor along Kangundo road. Tulikuwa tunabeba watu kutoka Malaa, Joska, Ruai and all the routes hapo kati kati to town and back. I had decided to do the job, since I was very broke na sikuwa napenda venye mzae wangu alikuwa ameanza kunibeba ufala juu sikuwa na dooh na nilikuwa naishi mtaani bado. At first, nilikuwa na kauoga manze juu madem wangenicheki nikiwa makanga waanze kunidharau pia maneiba wangeanza kunidharau juu nafanyaje umakanga na saa hio nikona degree. After a few days, I switched off that reasoning and entered the ‘not giving a fuck’ mode. Sikuwa najali wanasema nini, at the end of the day I am getting paid na madharau ya mzae itaanza kuisha. Hata mzae wangu hakuwa anadai nidunge iyo job nikamuuliza kama kuna job ako nayo anipee nikuwe nafanya ikuwe inaleta dooh akaanza kuleta story mob nikamshow hii kitu ni rahisi nahama tu niifanye mahali hakuna mtu ananisumbua, akachorea tu iyo story. A typical day would start at 4am. Kuamka ni 4, nidandie kimat kutoka Acacia hapo ndo mtaa iko @Yuletapeli anaeza relate mpaka Oryx alafu niwashe mat nikingoja dere akuje. Kuna dem tulikuwa tunafanya na yeye job alikuwa anaitwa Shiko alikuwa anastaying King’oris. Tukifika hapo tulikuwa tunambeba tunateremka hadi Malaa alafu tunaanza kubeba wasee. Fare iyo wakati ilikuwa 100 si kama saa hii inachezea 120.

At the end of they day tulikuwa tunafaa tuwe na 5k offload, 1500 ya management, 10k ya mafuta, 400 ya car wash alafu pia salo. Mimi nilikuanga nakulanga thao juu nilikuanga mtu wa mlango. Kazi yangu ilikuwa kubebesha, kushukisha wathii na kupiga nduru hapo kwa mlango. Dere alikuwa msee flani amechill tu alikuwa anaitwa Maich short form ya Maina. Shiko na Maich walikuwa wanagawana 2k kila mtu that is siku ikiwa fiti. Kuna siku pia tulikuwa tunatupa mbao unapata unaenda home na rwabe ama punch kwanza udandiwe na karau unajua hapo unaenda home ukilia machozi. Gari yenyewe ilikuwa KBT flani ilikuwa imechapa deadly. Kujaza gari kama hiyo ilikuwa tricky juu wasee wengi walikuwa wanapanda ndae mpya ama manyanga zimepimpiwa. Iyo idhaa kulikuwanga na mat kalikali kama Stalker, Aladin, Dortmund, Blue Haze, Revolution etc. Sasa ilikuwa inabidi umeamka mapema uanze job mapema ndo manyanga na mat mpya zikianza kazi wewe ushatengeneza dooh. Siri ya kumake doo na mat mzee ni kuenda rush mbili za asubuhi, kubebe shimo mbili (shimo ni stage ya tao mahali mat huwa zinabebea), na pia unakula rush moja ya kufunga kazi. Hapo kati kati unaenda mrengo mos mos tu (mrengo ni situation yenye unabeba stage zote za 20, za 30, za 5, za 70 na ukibahatika upate mtu wa Malaa ama Joska unakula mia yako safi. Kubeba kwa shimo unabeba watu wanalipa 100 hadi Malaa. Profit yako hapo ni kubeba watu wa njiani wa 50, 30 etc. Breakfast na lunch ulikuwa unakula kwa doo ya gari. Breko ilikuwa 200 na lunch pia ilikuwa 200. Breko ulikuwa unakunywa saa nne hapo gari ikiwa imepanga line ibebe kwa shimo. Lunch pia ni the same. On a typical day, mat inalisha mtu saba. Investor (mwenye gari), makanga, dere, kamagera (wasee wa kuitana unawapea 20), karau (lazima umdunge 100 hata kama gari haina makosa), management ya sacco, mwenye petrol station na msee wa carwash. What I hated ni gari ikuwe na mechanical problems meaning unaenda home njaa since most mechanical problems take time to be repaired. Unaenda garage unapata line ya mat zingine zinaundwa. Idhaa kama hiyo unashow mwenyewe vile kumeenda hizo repairs unatumia doo ulikuwa umeokota na kama haitoshi mwenyewe anaongezea. Tukianza job, mwenyewe alikuwa anadai tumtumie doo by 12. Management tulikuwa tunalipa by 10. After hapo sasa ni kusaka za mafuta na mshahara.

Nimedivert kidogo, back to the story. After kufanya job na Shiko (vile nilianza kufanya job na Shiko is a whole different story) after a few months nilikuwa nimeanza kujua kulipisha since kuna siku ningeachiwa gari nifanye solo. Kulipisha ilikuanga tricky kuanza siku za kwanza kwanza, unaona kila mtu anafanana :joy::joy:. Pia pesa ikiwa mob hesabu inaeza kupiga chenga na kama hauko rada unapewa doo fake kwanza doo kama thao. After kujua kulipisha, dere akadai nijue kujifunza kuendesha mat juu hapo ndo mostly doo iko. Uzuri ya kuwa dere ni ati wewe hutafuti kazi, unapigiwa simu na makanga anakushow uamke na yeye. Driving is a skill, kukuwa makanga haitaji skill yoyote ni confidence tu. Nilikuwa nimeendesha gari before but automatic pekee. Dere akanishow kama najua kuendesha gari nishasolve 70% of the puzzle. Iyo 30% ingine ni ya kujifunza kutumia clutch especially kwa mlima na kuchange gear. Aliniambia yeye hufunza watu wenye hawajai endesha gari kabisa. Afunze mtu kubalance gari, kutumia clutch na pia kutumia gear. Siku ya kwanza after tumemaliza kazi kitu kama 10 ivi ya usiku after ameshageuza gari, Maich akaniita akaniambia niingie hapo kwa driver seat nifanye trial. Sema gari kuzima zima. Clutch control ilikuwanga tricky sana. Unaachilia clutch gari inazima alafu steering ilikuanga kubwa na ilikuwa ngumu, gear stick nayo imetumiwa hadi numbering ya gears imeshaisha so unafaa ujue offhead uko gear gani. Mat ilikuwa 33 seater, ilikuwa inakaa kubwa :joy: alafu ati unafaa kuendesha gari bila kuangalia kama gear iko sawa. Dere alimalizia akaniambia nimejaribu. A few days after hapo nilikuwa nimeshika shika especially clutch kwanza mahali unaachilia ndo gari iende. Kitu nilikuwa nataka kujua ni vile madere hufanya ndo watoke teke kama walikuwa wamesimama na gari haizimi. A few weeks nilikuwa nimejua kutumia clutch but on a few occassions gari ilikuwa inazima after nimeachilia ndo iende. Pia nilikuwa nimejua kuendesha gari kiasi. Nilikuwa nimejua kutumia reverse, gear 1 niliambiwa ni ya mlima, gari kubwa ulikuwa unaanzia gear 2. Gari ndogo niliambiwa ndo unaanzia gear 1 lakini for a short distance pekee alafu unachange unaingia gear 2.Gear 4 na 5 ilikuwa inachanganya sana. Hujui kama unarudi gear 2 ama unaingia gear 4. Maich alikuwa anachange gear so flawlessly. Pia niliambiwa wakati wa kuchange gear, unaachilia mafuta ndo gear iingie otherwise unaeza choma clutch.

21 Likes

Sijaona shiko bado…hebu muingishe kwa insha

16 Likes

Maliza story

1 Like

Uko na skills za kuandika hekaya swafe. Leta part 2 haraka

9 Likes

Hehe nishaijaribu kuendesha manual i just gave up …i would pick an automatic all day any day

Hapo kwa kulipisha fare if i was ever a makanga naenda na line one by one unanipea pesa nakurudishia change that’s easy

1 Like

hekaya iko safi kabisa. narration on point. leta part 2 mara hiyo.

1 Like

Kangundo road iko na pesa lakini D- after every 10 meters picking bribes

3 Likes

Lazima ulikuwa employee wa @Yuletapeli. brother please promote your boys ili some day wakuwe dynasty pia. I do the same in my industry

5 Likes

Wapi shiko? Unaongea juu ya clutch na makanga. Meffi wewe

7 Likes

What is the essence of this hekaya… shiko is mentioned barely,…bladi nugu.

2 Likes

Not really hard but it needs a lot of practise. Unafaa uwe unajua mahali biting point ya clutch iko. Also unafaa ujue the ideal time to change gears ndo usichelewe ama upate umechange gear mapema. Also you must know how to downshift flawlessy ndo gear isichape haraka. It definitely needs some work. Hillstart nayo ilinishinda hadi wa leo pia kubalance clutch kwa jam ilinilemea sana.

2 Likes

Men who can drive manual cars can pull coitus interruptus… it takes will power to master hio balancing kwa mlima something very few men can pull.

8 Likes

kijana kwani ulizaliwa mwaka gani?..

2 Likes

Shiko amefanyaa? Part 2…leo jion, sindio?

1 Like

Amepotelea hapo kwa keygonyi

1 Like

Ni kuzoea.
Hii kitu sio ngumu. You just have to do it repeatedly na unakuwa sawa.
Hata chef huoni vile wao hukata kitunguu mbio. If you Did that all day you will just be like them

3 Likes

Shiko ndio amefanya nimalize hekaya haraka nikijaribu kufikia part yake…leta part 2 … hekaya swafiii mdau

It’s not about age but convenience and technology why strain to balance all that in a manual na PRNDL does that for you easy

Nimeachia hapo kwa kupiga nduru kwa mlango…:joy::joy::joy::joy::joy:

Wenye wamesoma niambie moral of the story.

1 Like

Mimi nilistuka juzi that very few youngsters can drive a half gear vehicle

I advocate for drivings schools to train using half gear vehicles

2 Likes