President na Prime Minister hawaezi kuwa watu wa nyanza na western pamoja.
Ticket enye itashinda lazima iwe mtu wa uko mbali na mwengine wa karibu na Nairobi, or watu wawili wa karibu na Nairobi.
Kalonzo na mtu wa western ama nyanza,
Or Ruto na mtu wa karibu na Nairobi or nyanza na western.
Raila +Mudavadi haiwezi.
Raila + Kalonzo haiwezi.
Ruto+ Mudavadi inaweza
Ruto +Kalonzo inaweza.
Ruto +Mgikuyu inaweza.
Raila +Mgikuyu haiwezi.
Raila pia hawezi acha power iende kwa mluhyia, never