Nimedate huyu dame for the last 6yrs na stawadanganya at hakuna ups n dwns nimevumilia takataka yote dame anaeza onesha MTU nkijua ni yy kwangu kunbe me nasaidia mdame kuchangisha pesa ya kulea mtoto si wangu… .so MTU was kwanza kuambiwa ati dame ako na ball ilikua ni mm na ju mm ni ule mse mm huyo na dame hadi kwachemist chukua preg test na ikawa positive, na ju mwanaume akiambiwa mapezi ni ujinga haskiagi, nikaenda kwa kina dame kudai nimuowe, happo ndo shida ilianzia, siati alikataa BT ndo SKU ya kwanza aliniambia not aiknynge kwao, kuona ni mchezo Leo nimeambiwa mtoi si wangu…nshaivunjwa roho lakini hii mpaka iashwa moto
Meffi jua kutype vizuri then urudi
Nakuhumia jibambe
Okozonga maboko pamba ah ah ah
Okozonga maboko wololo, wololo, wololo, wololo
Nzela ekokomela yo molayi iii iii iii
Makolo ekokomela yo kilo eh
Haikosi huo mtoto ni wa @Big scrotum
kama hujui hata kutype kuzaa utajuaje , shenjii
Ebu lala bro kwanza brathe, then amka kesho ukiwa rejuvenated then repost ua story.
We will help u.
Mukwasi kwani hulalangi mpaka uone vipindi zote za tv.
Nimechill hapa kwa giza nikiskiza BBC wakati usingizi imenilenga
baba kwani huwatch team ya baba ikimeza mtu champions ligi tumeanza 2nd half
Mimi ni msee wa Man City, apana tambua Mr Bean… But i prefer listening to BBC at nyt while thinking about my nxt course of action.
Next time type na lugha ya mama
enyewe huu ni ufala…hii kitu haisomeki
Mi nawatch KBC pore poreee, nikingoja wafunge kituo
Comeback ya Arsenal. Apan tambua hiyo ingine
Nimeachia hapo kwa SKU (stock taking unit), please abort.
nimeona 6years nikajua ni umeffi. nikasoma hio part ingine sikushika chenye umetype, nika confirm ni umeffi. jeshi ya viti saidieni hii villager na kiti ile ya cactus iketi itafsiri hekaya kwa lugha ya mama
Hiyo time umesave by typing yy instead of yeye and mm instead of mimi imekusaidia aje?
Pole Marto!
Marto wote huwa mafala sana.