Shida ya tumbo

Vipi wadau Niko na shida ya tumbo kunguruma even after I’ve dewormed and taken amoebiasis tablets, what could be the problem and solution

have you tested for typhoid?

No sir, I thought that maybe Niko na excess worms coz sometimes the sound is so loud…so it can be typhoid

its certainly typhoid.

For a whole sem when i was in school i had this kuguruma. Thought it was worms or milk in tea… even after addressing them tumbo bado iliguruma. It later turned out to be typhoid.

Apparently, typhoid ikikaa untreated for long it causes this

Thanks so I just get the tabs,is there specific recommendation…

enda kwa zile chemist za mtaani …mshow ulikuwa umeenda hosy ukapoteza dawa na card na si huku. MShow typhoid ilikuwa mob kwa damu. Mshow akupe dawa ju huna doh ya kurudi hosy.

hivyo tu

i repeat, chemist ya mtaani …hizi zingine wataleta ufala ya prescription

Then come back and tell me if the kuguruma cleared

Uko na mimba

Siwezimind

Haaaaaaai wacha ninyamaze tu

Ongea kama mwanaume

Enda tu hosi upimwe. Its risky kufanya guess work with your health.

Ni njaa.

Punguza wheat products…

Omuafrika hapana tambua gluten free diet

Wacha kukula mtura kwa street

Kuna vile hiyo story ya dawa za typhoid bila prescription haina shangwe

I did it na sikukufa …in this day and age the only doctor one needs ni surgeon ju siwezi jikata kisurgery

Kenyan doctors do more harm than good …kidogo kidogo ohh enda ultrasound …ohh exray …ohh stool test …ohh urine analysis

I cannot count the number of times Kenyan doctors have saved my relatives. You must be very unlucky to be landing only the unqualified doctors.

Fake arab leo unapeana constructive ideas. But effective means ya kutreat typhoid ni injection

That guy is very smart btw, I think he’s the smartest in ktalk