Shida ya pharmacy kunyambanyamba Kwa balcony

1 Like

Wariah will come and offer them millions and put up their own apartment blocks

3 Likes

Dump fellow, just put up a nice green shed at the back.

According to dense Low IQ Negroes, Gorofa ni maendeleo yet things such as Sewerage are not tken into account.

NIABM

3 Likes

I ndio life…unaongeleshea vizuri na jirani anakuambia ata kama ni gorofa weka dirisha iyo side ingine…wewe ju ni new money unaona hauwezi skia unamwambia fuck you na ye anasema mtombwe nyi wote mpaka shosho yenu…this is the nigga language…guess how fast the houses with windows blocked will be vacated

1 Like

:rofl: :rofl: :rofl: give that man an award…

4 Likes

hehe tenants watapotea ivo

1 Like

Hehe, hii ndio kitu niliambiwa, utajenga kwako kuzuri alafu baadaye kutakuwa na magofora. The good thing about haka ka area Niko ni homes watu wanejenga so gorofa zitakuwa tricky kupandishwa.

Nilisoma story ya pale umoja vile watu hapo 90s walikimbilia umoja wakajenga homes, sikuhizi wanacheki vile kunakaa vibaya wanatamani tu kuhama but inakuwa ngumu juu hawana pesa. Hio place ni noisy na chafu

2 Likes

Huko uko ni ruai?
Ka 50*100 how much?

1 Like

Inategemea na muuzaji. Sahi utaskia mtu akisema 2M

2m iko sawa…
Nitakam huko prospecting

1 Like

Na hiyo 2m kukinyesha ni accessible?

Kuja kamulu, hio place iko fine. Weather iko sawa na watu si wengi sana.

1 Like

Was in kamulu… Plot was around 1m
But hio solar waah… ikani turn off kabisa

I prefer cooler weather kama kikuyu na limuru…
But huku plot nayo ni 7m…

1 Like