shida tupu buana

sina kakirru
[ATTACH=full]454325[/ATTACH]

chokoraas @Wanaruona @uwesmake
jinga @Simiyu22 tumeni kakirru banae

@hakimoto ni mtu bure

Shingo boss!!! Kwani hukupata unga ya 100 ukamate kaugali

Hizo samosa zinamwaga kitunguu pekee

Wah!!!,kuteseka ni kwa muda

Ghaseer usinitaje ovyo ovyo. Mahali niko i need maximum concentration. Niko kwa trench pale Donbass. Unaweza nitaja ni kichungulie kijiji. Hivyo ndivyo nitainua kichwa nipigwe risasi na ukronazi sniper.[ATTACH=full]454327[/ATTACH]

How can a man eat like this? Hii chakula hata kipii ya class pp1 haiwezi shiba.

wacha ujinga buana
naweza kupipinya uhare

samosa ya sabini moja mzae

leta odds ghaseer

[ATTACH=full]454336[/ATTACH]

sina unga ya mia
gatheca ni doggie

Unakula chakula ya bar na Hunters Chais alafu unclaim hauna kakitu.

Meffi takataka kufa njaa mbwa

mzae wacha siasa … ii haijafika $10 buana

chokoraa kuna mifupa:D

Hiyo chupa naona ume recycle ,huogopi kuhara na maji ya tap.

Hiyo shingo inakaa mjigijaa ya @PHARMACY
Mkamba,jitokeleze tujue uko poa banae

Jeeez who eats those two…yaaaack

saitan
hùrwo mùthita gati gaka

Kuna vyenye nashuku hio kakeja yako iko na karoom kamoja tu. Vile huwa unapost same shot kila time.
My best guess ni eti hio chupa iko hapo ni ya kususu tena bucket ya mavi iko chini ya table.

Wueeeh, some things that huwa zinasemwa hapa baffle me a lot:D:D:D. I don’t think I can sit down and imagine some things randomly ata if I tried so hard.