Hata kitu ya kukula sina,naye landlord nasikia alikuwa akinitafuta.why me?
Na badala ya kununua chakula, ukaamua heri data bundles… Isokey…
Ni chakula gani ya 20 Bob?
Kill yourself
ile ya kiaganu…
skuma na na mayai moja
hakuna MTU atajali,itakuwa bure tu,why do people hate me?
hata yai ni luxury…sukuma angekula supper na lunch kesho.
Nizichemushe?
Pole sana kizee, all is not lost. At times progress misquanders as trouble. Lakini kizee kiti lazima.
Sukuma tumiti tank hata kuku inaweza tosheka? Unga sina
huna njaa…
Mashida shida tu,kwani huku hakuna watu wakarimu?
survive tu leo uko chini kesho uko wewe ni mwanaume
Ongea na @Kihii Kiaganu akuoneshe vile uta-survive na 20/= for a whole week, leave alone one meal!
Uliambiwa KTALK ndipo watu hawana food wanapatanga msaada??Uza simu ununue food…nugu wewe
Because ur stupid. In 2017 haufai kulalamika njaa
Siku moja hata wewe utapatikana utajua kulala njaa ni nini na hata kesho huna matumaini
Ni sawa
Wewe ni mwanaume mzima amekuwa wacha kuwa na mawazo kama ya mende hivi.