Sheria inasemaje

Ndugu zangu wapendwa wanakijiji wenzangu, natumai hamjambo.

Naomba kupatiwa ufafanuzi wa kisheria juu ya jambo hili. Yaani sheria inasemaje?

Ikitokea mtu niliyenae kwenye mahusiano akajiua kwa sababu za wivu wa kimapenzi na kuacha walaka unaonitaja moja kwa moja.

Je nitakuwa mtuhumiwa?

Usikojoe Hapa
Ukikutwa Faini 50elfu…Tchao

@Petro mselewa

Balaaaaaaaa

Utakuwa mtuhumiwa kwa kuisaidia Police.

Kama ikitokea limekukuta hili tukio ni vema uondoke uende mbali.

Hakuna haja ya kuondoka na kukimbia. Mtu kujiua kwasababu ya wivu wa mapenzi au kuachwa ni kosa lake mweyewe marehemu. Utahojiwa na ikigundulika hujaua unaachiwa huru…huwezi kujilazimisha kubaki na mtu kimapenzi kisa tu ukimuacha anajiua. Ajiue kwa amani.

Hahahah hapo hamna kosa vile kajiua kwa maamuzi yake na hakuna aliyemwambia ajiue

Hakuna kosa kweli ila kashkash za polisi lazima uzipate

@Dragon na akina @Petro E.Mselewa hawajaja huku Kenya Talk?!

hakuna kesi, ila klebu za polisi lazima zikuhusu

Majina kufanana tu

Itategemea kakutaja kwa vipi, vinginevyo utachukuliwa kuisaidia polisi…

Duuh, nadhani utahusika kiasi kuisaidia polisi(maelezo) ikigundulika haujahusika basi , ila huyo naye mwambie ajifunze kumove on bana mpk kufikiria kujiua kisa mapenzi mmh

Jela itakuhusu

Umeua bila kukusudia

Umesema vizuri sana…

Mwambie huyu dada aje nimsaidie kumuua harakaharaka…

Hamna kesi hapo.

Kula Beer tu.

Yes. You’re a suspect. But that does not mean that you’re guilty or that you’ll be convicted.

Ni mtuhumiwa number moja, mpaka pale itakapothibitishwa na mahakama hujatenda kosa…

Endapo ukakutwa na hatia nyundo kadhaa zinakuhusu…

Cc: @Mahondaw

khakhakhaaaaaaa… “wivu wa kimapenzi” dohh!