Shait is this for real

Guys hii ni drilll has been viral for some days now uko kwa uso kitabu ya zukabaga

1 Like

This was a drill. I have been part of one. Unachapangwa viboko hadi unasahau ni drill bana

2 Likes

ouch :D:D:D:D

1 Like

who was the camera person? red cross, kdf or alshabaab?

This is a drill or security exercise

Ukiniseti viboko hivyo, nakutafuta tu vizuuuuurrrriiii after the exercise is done, na kukusweep. Ukiuliza ama kuwa mkali, nakushow ni drill.

2 Likes

Sometimes if they are in a good mood watakuja pia na maji wamwagilie watu

1 Like

what if they are in a bad mood wawaambie mlaliane cha ukweli bila nguo… hehehe

They will come with mud water

Nani atani-direct kwa clip za El Ade? Zile za last year zilingolewa na CCK kabla nicheki.

Wenye wanalalia madem wanaskia tamu lakini

IQs in this village are lower than apes.