sexual truth 11th june 2022

nipatie mtoto alafu tuwachane. sitakudai chochote’ is the female version of 'naingiza kichwa tu’

:D:D:D

:D:D:D:D:D:D after she vomits the bastard KESI za child support zinaanza immediately

Kuna mwenye alijaribu kuniconvince hivyo severally. Ati usiogope, mtoto nitajichungia. Later on, request za 10k ya kujazishia rent zikazidi nikajua hapa ningeteleza ningekuwa nahangaishwa na child support.

Uskalizishe ama kumwaga ndani kama hautaki kulea story ya single families ata your president ana lia

wacha nitoe condom alafu uhesabu mpaka twenty alafu nivae tena

Apo ungemalizwa, huyo angekupeleka court. I know a guy who was told that akaambia dem waende kwa wakili ikuwe a legal document, dame akakasirika ati kwani you don’t trust me.