Set top boks

Is Vipi.nadai set top box izi za no monthly payments na pia iko na coverage ya kenya yote.bamba niliambiwa iko na technical problems(hardware).so gani ndio best?

WE ACHA UFALA.BUY DIGITAL TV.BOXES ADI LINI

3 Likes

Following for a friend

Aaiii io ni ya kutumwa ocha @culture acha mambo mob,na digitv hainanga stations mob

I’d vouch for CrystalView 902T2. It’ll receive Signet, ADN and PANG (the free channels only). The rest utalipia. Mambo ya digital tv wachana nayo; kwani tutanunua tv kila wakati?

3 Likes

Wazi luther.inapatikana wapi na ni how much.any extras(aerial etc…)

If you’re in Nbi, check in any of the numerous shops along Luthuli. Not sure if it’s available in supermarkets but no harm in checking. Price should be in the range of 4k-4.5k give or take. Aerial unatumia ile unayo, kama huna tafuta Ellies or Jeta.

1 Like

Wazi @luther

Africa Digital Network ya Citizen si mbaya kama hautaki kulipa kakitu.