Serve & Suffer...hii Gava ya uhunye ina jokes

Kuwa polisi kenya ni shida…buda anapiga patrol on a donkey pale N.Eastern. Sasa huyu akipatiwa na Al shabaab 20K tuu afunge macho wapite atakataa kweli?
[ATTACH=full]29462[/ATTACH]

3 Likes

Oooh my!

1 Like

hiyo picha kali sana

1 Like

:D:D:D:D

1 Like

hii ni aibu kubwa

1 Like

sio mbotoshop mzito?

1 Like

Nowonder a cops worst fear is kupewa transfer N.E

Zii si photoshop…hauoni shadow

Hahaa

1 Like

hehehehe, lakini si ako better than kupiga patrol kalesa. Tho partner wake ako wapi, au yuko nyuma na ass-ton martin yake pia?

8 Likes

Ngori…kuna feature ilikuwa kwa news ya maprison guards wanaishi nyumba za matope na ni Nairobi

2 Likes

:D:D:D This dude was just enjoying himself…First of all hakuna vile anaweza enda far in that sitting position.

2 Likes

Nobody is recruited by force.anybody who have attended a recruitment exercise anajua

Looks to me like ako serious kwa kazi.

1 Like

hata mataliban huenda na punda

1 Like

Sunday inakushikia wapi mkubwa?

we are a sovereign state…

Hata afadhali wakempa farasi banaa

niko mtaa

unajua kitu inaitwa hardy?farasi sio suitable kwa hizo area,afadhali ungesema ngamia ama mule,hii maneno hauwezi elewa chokosh