Serious real estate enterprenuers

Niko kwa nyumba naiva skills za mongoDB…i breath technology…rusha those kind of bizna ndio ninunue kanyama pale Fiesta.

Try Fiesta sio pabaya lakini utoke ukijiona, hiyo place mimi huiogopa

Waar…mkia asante…io nawachia Uwesmake na co. Apo karibu na carwash kwa ako ka shorty,itisha kilo ntalipa

Na huko Mulberry??

Eeh ama uchukue kuku mzima ya 800

Buda kumbe unakuwanga developer? Nmetii

Kabisa…hapa ktalk ni place ya ku let out steam kichwa ina rudi freshii…niko nayo nayo na mongoDB kuna gig inahitajika kutumia hiyo kitu very soon.

Nyumba kama izi ni ngumu sana zikose clients

Pitia hapo kwa kamaa wa nyama umwambie akupe kilo mischief atalipa

[quote=“MISCHIEF, post:28, topic:232694”]

Pitia hapo kwa kamaa wa nyama umwambie akupe kilo mischief atalipa
[/QUOTE) naona hizi zenu ni faggots signals[/QUOTE]

Shindwe!!! Kunywa supu bila kusumbua

Huyo Kamau Wa Nyama amekuwa famous na alifungua juzi tu.
Ama ni momo fulani huwa hapo ina attract clients