Niko CBD, nimepita River Road na Latema Road, PSV ziko na mbao imeandikwa “Nairobi to Eldoret”, “Nairobi to Kisumu”, “Nairobi to Mombasa” na kuna abiria ndani na manamba wamejaa hapo inje wakitafuta abiria. By the way that side of CBD iko na police wengi sana both in uniform and plain clothes. Lock down kitu gani! Police and PSV are just making lots of money, hakuna lock down.
Very punitive fares
Easter hao wezi walinilipisha 3k kwenda na 3k kurudi. Uhunye ananona tu lakini hana habari nini inaendelea kwa ground.
Sasa unataka nifanye nini?[ATTACH=full]360572[/ATTACH]
:D:D:D
[ATTACH=full]360585[/ATTACH]
Maisha nyororo kweli.
:D:D:D
Huyu anakaa kukufa tu soon banae
Roadblocks are for the poor
Hii inakaa ugonjwa
River cilcohosis
Ruto has not been in power in the 2nd term. Serikali ni ya Uhuru, Murathe, Kibicho, Muhoho and Jakuon.
[ATTACH=full]360600[/ATTACH]
Mahali amefika anafaa aingizwe gym cha nguvu.
Wacha ni save za kanyama.
Ka liver kameungua.
Bullshit. There’s no escape from judgement.
Whose judgement? kila mtu achague mwizi wake pole pole ama akae shtum.
FYI, the current government ni UhuRutoRao ama UhuRaoRuto kulingana na pecking order.
Ile ugonjwa ya kufura na mdomo kuturn red inaitwa?
Are you voting here?