Serikali ni ya Mama Mboga

Pale Gikomba wamepewa a 10 days notice wajiondoe upesi.

Maendeleo walitaka imewafikia sasa.

Pale Roysambu na Githurai, wameanza kuona maendeleo live live. Watabomolewa vibanda zao na hakuna kitu kenha watajenga. Pale gikomba kutakuwa na uwanja iko idle for another 2 years.. na mtu akijaribu kuingia kufanya lolote lile atalala ndani.

Maendeleo ni lazima.

2 Likes

Road reserve is exactly that. Empty land until expansion of the road. That is no excuse for “mama mboga” to use the land.
Yes, maendeleo na community discipline lazima

5 Likes

Should have been enforced a long time ago. Bring order and sanity back

2 Likes

So how come idle railways and railway reserve lands have been recently leased to individuals?

1 Like

Hao watu wa Kenha ndo hu lease hizo spaces.

1 Like

Did those people on idle road reserves lease the land?

1 Like

Gikomba affordable housing coming soon

1 Like