Serikali kuhamia Dodoma

[SIZE=6]Serikali kuhamia Dodoma[/SIZE]

http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/3295560/highRes/1381002/-/maxw/600/-/l5ddz/-/dodomapic.jpg

[SIZE=4]Kwa ufupi[/SIZE]
Wakosoaji wamekuwa wakieleza kuwa Serikali haina nia ya dhati ya kuhamisha makao yake kutoka Dar es Salaam kutokana na kuendelea kujenga ofisi zake kwenye mji huo maarufu wa kibiashara, huku Dodoma ikiendelea kuwa na ofisi ndogo za wizara.

By Sharon Sauwa, Mwananchi [email protected]

Dodoma. Rais John Magufuli ameamua kukamilisha safari iliyoanza miaka 42 iliyopita ya kuhamishia makao makuu ya Serikali mkoani Dodoma kwa kuanza kukarabati Uwanja wa Ndege na kuhamishia sherehe za mashujaa mjini hapa.

Wakosoaji wamekuwa wakieleza kuwa Serikali haina nia ya dhati ya kuhamisha makao yake kutoka Dar es Salaam kutokana na kuendelea kujenga ofisi zake kwenye mji huo maarufu wa kibiashara, huku Dodoma ikiendelea kuwa na ofisi ndogo za wizara.

Wadau wanasema kusita huko kuhamia Dodoma kumekuwa kukisababisha Serikali kuendeshwa kwa gharama kubwa kutokana na shughuli zake kurudufiwa.

Lakini Serikali ya Awamu ya Tano inaonekana kudhamiria kukamilisha safari ya kuhamia kwenye mji huo ulio katikati ya nchi.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana amesema kwenye mkutano wa kitaifa wa amani ulioandaliwa na Jumuiya ya Waislamu wa Ahamadiya mjini hapa kuwa hatua ya kupanua Uwanja wa Ndege wa Dodoma ni sehemu ya Serikali ya Magufuli kuhamia makao makuu.

Amesema Rais Magufuli atazindua awamu ya kwanza ya mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja huo utakaogharimu Sh11.8 bilioni wakati atakapokuja mjini hapa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM utakaofanyika Julai 23.

“Hiyo ni miongoni mwa mipango inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kuiwezesha kuhamia Dodoma,” amesema Rugimbana. “Rais ameamua kutumia baadhi ya fedha zilizobakia katika mwaka wa fedha uliopita kuufanyia ukarabati uwanja huu.”

Meneja mradi huo, Mhandisi Mbila Mdemu amesema ukarabati utahusisha njia za kuruka na kutua, barabara za viungio na maegesho ya ndege.

“Mwaka 2005 kulifanyika tathmini na usanifu kuona jinsi gani kiwanja hiki kitakavyoboreshwa na kuongezwa urefu wa barabara za kutua na kuruka kwa ndege,” amesema.

http://www.mwananchi.co.tz/habari/Serikali-kuhamia-Dodoma/-/1597578/3295558/-/14c71avz/-/index.html

TZ amuses me. Ukicheki dodoma inakaa like a small town like mlolongo na vile zinakuanga na midomo

The article didn’t need to state this

The problem with Tanzania is their average national IQ level. Its within your room temperature in degrees

Huyo unaskia akiitwa mhandisi ni kama msee Wa mkono Wa mafundi huku

:p:p

Your alter ego fulltz will not like this kind of meanness

hiyo ni statue ya kim jong un kwa hiyo picha hapu juu? north korea ndio hupenda bronze statues.

hata hii ni ya north korea?

http://www.italianbronzestatue.com/wp-content/gallery/statues-of-warriors/169-Bronze-statues-sculptures-Boundary-b-cod.169-cm.47x36x23-year2006.jpeg

Swala hili halituhusu ndewe wala skio.

[ATTACH=full]48495[/ATTACH]

Same reaction Chinese engineers have when they hear of a Kenyan mhandisi. Nyani haoni kundule.

That’s OK.

But THIS is the reaction of THE SAME Chinese engineers when they hear of a Tanzanian Muhandis:-
[ATTACH=full]48497[/ATTACH]

Hapa kazi tu…chapa kazi chonde chonde…ila Arusha baridi…[ATTACH]48515[/ATTACH] [ATTACH=full]48515[/ATTACH]

How do you link a gif ? When i tried the site refused

SlQUOTE=“uncle nyam, post: 532120, member: 729”]TZ amuses me. Ukicheki dodoma inakaa like a small town like mlolongo na vile zinakuanga na midomo
[/QUOTE]

Hahaaaaaaa all in all … Dodoma is not even a city but it is about to become one due to government investment such as physical infrastructures , establlishment of different governmental institutes na hata dodoma kuna university kubwa kuliko vyote vilivyopo afrika mashariki na kati (Waweza enda kutalii maana eneo kubwa sawa na miji mingi midogo ya kiafrika )… Stand to be corrected

And dodoma is one of the fastest growing urban centres next to dar in tz and last week i was there … i was really amazed with the transformationS that ar still taking place…kama umekaa miaka miwili tu na haujafika …huna right ya kusema hivyo

Facts that you are supposed to know… Dodoma iliteuliwa kuwa capital city kipindi kifupi kilichopita

Dodoma ipo katika central zone of tz ambayo ni arid hivyo, kuwa less potentual compared to other regions of tz

Yo welcome in tz

Thank you for your input. Lakini si hapo nimesoma iliteuliwa miaka 42 iliyopita ? Miongo minne sio “kipindi kifupi”.

Thank you for your input. Lakini si hapo nimesoma iliteuliwa miaka 42 iliyopita ? Miongo minne sio “kipindi kifupi”.
[/QUOTE]

Kwani Nigeria walihamia Abuja after how many years, am asking…

Ahsante kaka kwa kunikosoa kutokana comment yangu iliyopita…

Ni kweli ni kifupi compared to the huge transformation that was needed to take place coz kuanzia bunge , mahakama hadi ministries zote zilikuwa dar … Also infrastructural wise dodoma was very poor up to 2000’s…

Kumbuka in 1970’s up to early 1990’s economical situation of tz was worst from kagera war , failure of socialism , natural calamities such as drought nd etc… Financial state of our country couldnt met the demands of the needed funds to shifts its capital city to dom that dar continue to serve the administrative role while dodoma remained a capital citysd On papers …

Theres still a question on the gava commitment to this issue since we are in a good economic state …wengine hutania kua hakuna wa kuhama dar maana raha zake zinawachengua government officials

Hahaaaaaaa all in all … Dodoma is not even a city but it is about to become one due to government investment such as physical infrastructures , establlishment of different governmental institutes na hata dodoma kuna university kubwa kuliko vyote vilivyopo afrika mashariki na kati (Waweza enda kutalii maana eneo kubwa sawa na miji mingi midogo ya kiafrika )… Stand to be corrected

And dodoma is one of the fastest growing urban centres next to dar in tz and last week i was there … i was really amazed with the transformationS that ar still taking place…kama umekaa miaka miwili tu na haujafika …huna right ya kusema hivyo

Facts that you are supposed to know… Dodoma iliteuliwa kuwa capital city kipindi kifupi kilichopita

Dodoma ipo katika central zone of tz ambayo ni arid hivyo, kuwa less potentual compared to other regions of tz

Yo welcome in tz
[/QUOTE]

Osungu na Oswahili zote ndani ya cattle dip @introvert

Hata hivyo nitakukosoa ki-historia juu wakati nilisikia kwamba makao makuu ya Serikali ya Muungano wa Tanzania yatahamishiwa Dodoma sikuwa nimefanya mtihani wa shule ya msingi na mimi si mchanga vile…fikiria miaka ya 1970s…

@Kamu these violations are serious and must be kicked like a bad habit.
[ATTACH=full]48528[/ATTACH]

Kwani Nigeria walihamia Abuja after how many years, am asking…
[/QUOTE]

Abuja has been the capital since 1995. One of the best planned cities in Africa.

hizo ni nyaya za simu???

hivi hii picha kachukuliwa lini?

1993?

Maanake kama ni 2016 basi itabidi tuwaambie wote watakaotuskiza kwamba hatujawahi sikia nchi inayoitwa tanzania, jamaa zake wala mahali ipo. Hatujui tanzania na hata si jirani zetu, tutawaambia.

Hizi aibu za jirani maskini hatuziwezi sisi wakenya. Ufukara wenu watupa shida hata nguo tukizianika lazma tuzilinde hadi zikauke ndo tuzianue na kujishughulisha na mengine