Huyu hana powers. Yule mathe ndio ako na powers
[MEDIA=twitter]1621487455110062080[/MEDIA]
Huyu hana powers. Yule mathe ndio ako na powers
[MEDIA=twitter]1621487455110062080[/MEDIA]
Here for bizna. Carlo Pontsi was Italian you know.
Mlidai vipi kuhusu Arror Na Kimwarer?
Natambua msito Silvio Berlusconi.
Things were interesting when he was PM.
Huyo prime minister ni mtu wa nguvu sana. Alicharaza “progressive” Macron masweep bila huruma. The Western mainstream media really hates her and wanafocus on telling us she is racist because hataki illegal immigration.
Alisema vitu media houses like CNN, BBC etc hazitaki kusema. The only western media house ninaona inaweza mulika hii in a documentary ni DW.
[MEDIA=twitter]1575950149548843009[/MEDIA]
na akikuja asiite Kenya Senegal kama ile ghassia ingine