Hold habits die hard my fren. Ukicheki hizi picha mbili taken decades apart even with changes n fashion and trends they appear like time stood still in Serani plus the grades I suppose. Watu watambue high school zao tuwajue leo
https://1.bp.blogspot.com/-tqpWk7RM61Q/WNoJg0xuxGI/AAAAAAAASg0/zzvMvwqFqhsSugl7vYRGUOYQ9ni-IKmawCLcB/s1600/Joho11.jpg huyo boy hapo mbele kwa picture below ndio future gov 001
Sa unatakaje?
Nataka urudi Afmadow
1 Like
[ATTACH=full]91259[/ATTACH]
20 Likes
Ile njaa iko huko na vyenye huyu amenona…
Jijazie.
4 Likes
Wale hawakwenda shule bora wakaambiwa Bora shule hawatasema…
1 Like
Do you mean they might eat him.
4 Likes
Hahaaa possible risk, red alert
1 Like
@kingolonde kuja na boss wako
Who is he?
Tumefika. Sema yote
Huoni ako na pozi kama ya ya El Chapo. Unbuttoned shirt, front of picture hogging limelight. Nini imebaki si D- na ungafana?
Huyo amesquat picha ya pili?
1 Like
tunatafuta efidens ya hoho pale ‘cherehani’ high school circa 1992/1993
Ugwes pata.
1 Like
Yap
FSK alumni 2002
Weuh. So finally simba ameangushwa na kitu ndogo kama kufanya kcse?
Unajuaje ameangushwa na hata majina hayajakuwa submitted to IEBC? In this country, crooks always win.
Na forgery ya kitoto
1 Like