selling this

Mali safi kutoka majuu
Pantech 8k
S2 5k[ATTACH=full]33368[/ATTACH][ATTACH=full]33369[/ATTACH][ATTACH=full]33370[/ATTACH][ATTACH=full]33371[/ATTACH]

Wenye hizi simu sahii vile tunazungumza, wanaongezwa maji ama formalin?

22 Likes

:D:D Can see you are back with a bang:D:D

3 Likes

Ukiangalia poa hio ni logo ya kampuni ya majuu nigga hazijatumika africa

3 Likes

Siku za mwizi ni arubaini.

2 Likes

Yaani this is the only popular social media website with a known resident thief/robber/pickpocket.

siku yako itafika tu kama ya @Kidinyi

wee askari traffic huezi elewa hii mambo

Maybe I was very belief so in details;

Pantech Vega 6
5.9inch Natural Display
Snapdragon S4
13 MP camera
32GB internal
4G enabled
NFC ready
T-DMB TV tunner (i dont knw whether inaeza Fanya kazi huku @Meria Mata confirmation needed)

http://m.gsmarena.com/pantech_vega_no_6-5268.php

Na hio s2 kyenye iko nayo tofauti t ni 16GB ROM.
So mnanunua ama nipeleke kwenye nimezoea

Can’t work here.
We use DVBT2

ningenunua lakini…

Kununua hizi simu zako nikujitia kitanzi

…lakini hujalipa rent tunajua

Kamiti is not a joke. Ukipatikana nayo wewe ndiye uliua mtu.

2 Likes

tupe email.

wee…simu zingne zinaweza kata kufanya huku ww

[S]

[/S]

nishauza maskini nyinyi, najaribu kuwanjenga ni porojo tu, endeleeni kuringa na hizo infinix expiry date yake iko karibu