Selling a trailer hitch

[ATTACH=full]400974[/ATTACH]
Wadau, nimeuza tipper na ilikuja na hii kitu. The option was if I ever want to attach a 12-wheeler trailer. Never used.
Nani anataka kula broker’s fee?

Hio labda upime kama scrap metal

Btw tipper ilirudisha pesa yako ama Kuna hekaya I want to venture there

Following

Haingerudisha under this kill business environment ya uhuru

Kama hiyo tipper ingekuwa mwanamke, ningekuwa nakimbia at a breakneck speed towards Embobut… Usitake kujaribu. Unless you have a job waiting for it or long-term engagement.
But basically there are three things you need to consider:

  1. Ni wewe utajiendeshea ama utakuwa unakutana na dere jioni after work?
  2. Do you have connections za kiwanja/labor ya hiyo area ama ni advert uliona vile truck inakaa fit ikiwa imeinua karai?
  3. Do you have a project you will attach ama utaanza kutega gari mpya kwa kiwanja?
    If the answers for the first parts of the above questions are no, please don’t attempt.