Niajeni Peasants,
Leo nimetulia tu hapa SLUM polepole nakamuwa FAXE nikingoja nyoka itoke wax
[ATTACH=full]53544[/ATTACH]
Niajeni Peasants,
Leo nimetulia tu hapa SLUM polepole nakamuwa FAXE nikingoja nyoka itoke wax
[ATTACH=full]53544[/ATTACH]
Toka kwa pango sumbua.
Sily…Go home to ur bedsitter
Heheheheh faxe birionea nunua kamera
Kwani unatumia pin-hole camera
Hii iko na carl zeiss lens, ni vile tu haifanyangi kazi poa kwa SLUM
unapenda slum sana
Pathetic peasant. When will you ever move out the ghetto? Kazi ni kupiga empty cans of Faxe picha. Peasantry of the highest order
using a very cheap phone
Vuruta stima kwa pango
Ndio nini hii?
You guys except billionaires to know how to take clear pics?
fixed
Fake billionaire , hio mshahara yako ya 30k inakuchanganya akili
Na hii faxe inakulipa ngapi kuifanyia marketing?
expect…kdf tutakuitia @introvert
Uliacha kulia after kuwachwa? :D:D:D
[ATTACH=full]53672[/ATTACH] Mimi sisumbui kama avator yangu
Enyewe @pamba uluhya itakuua…mayai si shida infact you need a tray, lakini jug ya PINK imejaa chai? !!!