Seductive Tips part 2

My crush came back n Apologize for what happened, we now planning for a second date n it should happen in a garden where we can play, run and laugh out loud at nobody business. Any one to help a brother wea i can take this chic?? Naona @Baby Panay nkikuacha ukienda downtown.

https://nworksinc.files.wordpress.com/2017/04/170415-0034.jpg

1 Like

Lazima iwe garden ama can be Nature?

 1. Karura Forest - Entrance ni 100 for each person
  directions - enda Khoja bus station, panda Gari za UN-Ruaka-US Embassy-Village market. ambia conda awashukishe gate ya Karura, iko opposite embassy ya Belgium
  You can walk/ Run/ ride bikes. walk hadi mfike waterfall then kurudi mmalizie Lilly lake.

 2. Arboretum- huku unajua ni wapi, you can do all those

 3. Ololua Nature trail in Karen entrance ni 250 for each person
  directions - chukua mat ya Karen hapo kencom na utulie tu kwa gari hadi kila mtu ashuke, conda atakuambia place iko

 • you can walk/ running maybe at the picnic site/ sit next to the waterfall n just have fun bila usumbufu
 1. Girrafe centre - entrance ni 250 pia
  chukua mat ya Karen na ushuke Hardy shopping centre halafu chapa miguu hadi huko, will take you like ten minutes ufike
  you can feed them giraffes together na pia kuna kasmall nature walk hapo for privacy

 2. paradise Lost in Kiambu

 3. Uhuru park pia si mbaya.

1 Like

Yaani tutangozea huyu mwanaume mpaka siku gani?
I will not be surprised if he asks how to chukua slicez…

Hii jamaa ya githurai 44 haijui kutreat a lady
Pathetic boy

Move on . Si ulisema anabonga kama “mtoi Wa class 2”?

Meffi…Enda uchukue Mbukinya bus ambia conda ashukise wewe kwa entrance ya muliro gardens…

2 Likes

Wueeh.
Hizi miguu ni poa za kuosha blanketi.

6 Likes

Thanks,

She apologized, n she was stressed tht day

To chukua slice cant ask anyone…

Sawa mluyha, najua ni unga inafikiria not ua brain

Karura forest n olelua, do u carry food? @Deorro

Iko wapi rink?

Rink?

Yes. Plus stove. Ya kuzipika.

Ama kukanyagia story.

4 Likes

:D:D:D
Kabisa.

yes you can

Hahaha wen was my last time using a stove…better a jiko or zile kuni za muthurwa