Kuna mix flany nimeskizia kwa nganya leo moto wa kuotea mbali… Mixx ina ngoma za mapenz na nikidhani ni ya Dj Lyta… Tafadhali watu wanajua mixxcrate mzuri mtu asake hii mix… Ngoma nakumbuka inazo ni hizi
https://www.youtube.com/watch?v=l4yD1dsv5Ho
https://www.youtube.com/watch?v=MaikFKdF5AU
Hii kitu ukileta ngeus kwa keja kisha ueke, lazima utatoa ndane, tuokoleane tafadhali
Ikifika ni Reggae kuruka i stick to Supremacy sounds like glue. Dancehall and Hiphop yeyote ule ni sawa; hata kama ni Arika.
2 Likes
Lakini hii mix ni swafi cheki izo ngoma nime sample
1 Like
Fuck nimeeka Ad badala ya ngoma yenyewe :D:D… This is what I was to put there;
https://www.youtube.com/watch?v=xeWtg3IdQQ0
Hii site unikanganya…sasa base na play mix ni wapi??
[ATTACH=full]20507[/ATTACH]
ama sikuelewa swali lako?
Kwa hii link yako hakuna place ya play wallahi
Link yangu sio issue. Inakaa hauna flash player; or else iko outdated.
1 Like
haha, ilibidi niende mixcrate kutafuta mix ya huyu dj hushout[SIZE=7] DEMAKUFU!!![/SIZE]
Ako swafi!
1 Like
4makind
November 10, 2015, 8:57am
12
Ali Kiba na huyo Kimani dropped the ball…lip synching
1 Like
That name though…:D:D:D:D:D:D
:D:D:D:D:D:D:D Hiyo drop hunimamba mbaya!
muendo
November 11, 2015, 12:28pm
15
anyone sampled nickdee entertainment…wana.mix deadly sana.
1 Like