Scratching DJs.

Napenda sana vile they drop music, chikichiki. Sasa nimeambiwa people pay 35$ for a line. " welcome to my world". I think hii ni carrer ya watu wajinga. If you are a dj, you are a failure. Stop wasting your parents money!

[MEDIA=vimeo]149747164[/MEDIA]

Unajua tiesto analipwa ngapi siku moja? We kaa hapo kayole na forward travellers zako

3 Likes

Bliss! Ndio maana tunasemanga "Reggea music again"

Jamaa ni forester, ni machungu ya kukosa job

enda upelekee samosa ya punda! hii choo yako haishi bana!
mchana huoneani:

ju wewe una fanyanga nini ya maana sana?

mi niko royal na embasava drips na ngangana tu

uliza Dj joe hulipwa 2hrs show pesa ngapi?

[ATTACH=full]30256[/ATTACH]
One weekend.that’s the ujinga

1 Like

Black Granite cashiers Desk, Green pen. Clearly we can see that Account opening form. Endelea kufanyia Muriuki kazi ndio upewe beer mbili end of year party! Sirry!!

Forester, huyo ni petty cash kwangu

haha, unanikalia tu kama waititu!! Ata ukiwa na millions, ujinga bado imejaa kwa kichwa.

huyu hata analipwa 100mb end month

Machungu ni ya nini? Kama your dreams were to be a dj na ukashindwa move one. Life does not stop. Dj’s make some good money. Mtu kama Armin van Buuren who was voted 4 times best DJ worldwide ako na a law Degree so usidhani hawajasoma. Dj Creme De La Creme ako na degree ya Comp Science. Dj Kaytrixx aliacha his engineering Degree at Moi university to become a dj, Dj Andre i believe ni alumni wa Nazarene so sijui shida lako liko wapi…


Dj CK wa the fuse ni birrionea

hypnotiq ako na finance Nazarene usisahau. Done many rounds za ulevi na creme, finalcut, hypnotiq before they made it big, but masomo hawakuacha. Nwy, im just bored na vile people are milking people dry in the name of Dj training. How many Successfull Djs do you know? Ata ukianza counting u will have a hard time reaching 20. So every mogoka eating youth wants to be a dj, and the industry is limited. Paying 35$ for a line is too much. Enda Homeboyz uone their intake, atleast 60 every month. CK is an Tenderprenuer, wale madem amekula hiyo offfice yake lifehouse ustake kujua. So count him out on this topic.

1 Like

Kumbe ni wewe ulinifungulia account…aaaah. @mixx

cc @Touchlyrics

1 Like