Schools Close For December Holidays From Today. Wazazi Wameanza Kulalamika

Today my local town is flooded with High Schoolers from all the local school. Nimesikia wazazi mahali wakilalamika eti sasa kitaelewaka. These kids eat like termites na Zakayo naye anadai ada yake.

By the time their 80 day Holiday is over, some will be pregnant and some will taste alcohol and other dangerous substances.

Offer them GUIDANCE AND BE CLOSE TO YOUR CHILDREN

7 Likes

Children belong to school together with their teachers not streets

1 Like

I normally wonder nani hao hu complain watoi wamefunga shule.Mimi wangu hukam na budget ya chakula sio kitu inaweza fanya nipige kelele. Very selfish parents out here

12 Likes

i’m more worried about khupipi wanting the spawn to start catholic church classes … ati “I went through it too” ndo wepewe tule tumkate

3 Likes

Ona sasa!

watoto wasome dini wameze scramenti

1 Like

:rofl: :rofl: I tell her its retarded she gets angry and religious

Escapist parent sasa padre atakamua kijana.

2 Likes

:rofl: :rofl:meffi wewe nitafunga yeye go pro

1 Like

Kaeni nA watoi wenyu mwafunze izo tabia zenyu mbaya. Ghaseer

3 Likes

Wazazi wa mjini ndio wanalalamika. Mashinani kuna mazao ya shambani, maziwa na asali kwa wingi mno.

2 Likes

Kwani walikua wanazalia waalimu?

2 Likes

I remember sku tulikua tunafunga shule ilikuwa ni machoss tupu juu shamba work could humble us, regardless of your age. Wazazi wa skuizi ni kupea watoi simu iwaweke busy badala mtu atumwe shambani pamoja na wafanyikazi.

4 Likes

After posting their kipiis on social media for like 8yrs or thereabouts, modern parents now start running away from the real responsibilities! Try and teach your kid some sport or skill now that they are home with you for a long period. I know ukiangalia bei ya chakula unaskia kupiga nduru but ukikulana bila CD hakuna mtu alikulazimisha! Funda!

3 Likes

I have one kid. My parents take care of my kid. My kid keep my aging parents active

Born and raised in paipu floor 14 tutalima wapi?

Hii ni free labour ya huko mashambani ni nyinyi hamjui. They work for their food huko

1 Like