School bus

Mi nauliza tu…kuuliza si ujinga?school bus za primary sch na kinder ths days zinachunishwa ngoma?i saw a school bus today ikidrop watoi frm school and was left wondering…Riddim highest volume and children very bubbly and noisy singing along to the song like it was national anthem.Hii ndo form thz days ama ni uzee inanisumbua??

Niko na jibu but I cant answer coz I am shaken deeply by those salgaa pics o_O

2 Likes

Umezeeka

Hiyo lugha unatumia I think uko early twenties hakuna uzee unayo.

1 Like

shule ziliona hakuna haja ya kuhire orokise Na oromats

For high school o.k. but primary , not cool, shouldn’t be happening .
Any ways kulea ni jukumu la mwenye mtoto these days.

Peasant school…izo ni zile shule hawanunui bus.