Schedule / Plan ya ule mzito Jay BB Leo ...Action starts @1700hrs

Wengi especially Newbies(NV’s) wanashindwa hio BB inamaanisha nini? Well inamaanisha baby boi…so tulizeni kende muone schedule plan ya baby boi leo juu Wazito Die Mannshaft wanacheza leo.

15oohrs: Mzito anapiga shower…si ati hajaoga morning …anapiga shower tena just to freshen up…ma roll on pale, perfume perfume pale.

1515hrs: mzito anavaa jersey ya Die Mannschaft…mgongoni ime andikwa müller mseh!! T-Sho origgy chezeni chini. Anakuvalia jeans short. Kiatu usitake jua ni gani mzito ana ngara…ADIDAS mseh zile juu kwa juu black and blue in color…kiatu imenunuliwa one week ago (140euros mseh) so bado inashine shine mseh

1545hrs: Round up the squad kwa ufupi kupigia akina blaze simu…hivi ndo convo hukuwa

JAY: niaje niaje mzito…leo Mannschaft wanacheza mseh…unachoraje

BLAZE:Budah mimi nilianza kukataa tei ngware mseh. Nko hapa ile Baesa ya Brock lesnar…tuko kerendi apa na wakenya wengine

JAY: mi ndo najitayarisha…ntakuwa apo by five kizee

BLAZE: Morale mseh

1600hrs: mzito anainua…leaves the house

1615hrs: Mzito anaingia Duka ya Doner…ana agiza Döner moja na soda baridi mseh…ka coke hivi

1630hrs: Mzito ameshiba…anaingia duka ya fegi na tei…Convo na shopkeeper iko hivi

SK: hallo
JAY: hello meffi<—hawaelewi nawatusi…always say that to them.

JAY: John Player Zigaretten bitte. Schwarz. (Mzito ameagiza packet ya fegi inaitwa John Player–6euros)

SK : Alles (kitu ingine ama umeshamaliza?)

JAY: Alles meffi. (ni hayo tuu meffi)…Danke (thanks)

1700hrs: jay amefika kwa baesa ya Brock Lesnar…as usual makelele towards mzito…mara Vipii jay mseh usiwe hivyo umelost wapi mseh …mwingine tena ako aaaaaaaaah JAY nakuona mseh…Mwingine asha order beer …pea Champez chenye anakunywa…

ulevi ulevi ulevi hadi kitu 2030hrs…tunajitoa tunaenda street pub…pub wameweka TV inje kubwa…alafu masofa mseh…apo ndo wazito uona ball…very comfortable

2100hrs: Game ina anza. game ya wazito inaanza

Plan ends here bt if Die mannschaft wins…mtaskia hekaya kesho…
[ATTACH=full]47313[/ATTACH]

Leo Germany wataonyesha France what they do to the host team
TBT: Germany 7 brazil:(

CET

morale morale

https://pbs.twimg.com/media/CmwU4CzXgAANIhK.jpg

Hapa ni Brandenburger tor berlin…this is how lit it’s always is whenever die mannschaft are playing…
[ATTACH=full]47325[/ATTACH]

:D:D:D utajulikana siku moja

Game kubwa leo lazima kutokea, sisi kama Amicus Les Blues killing and shafting till the title Die mannschaft gains a meaning.

8hrs to go…count down iko on

He he

Huyu Blaze lazima ni ka mlevi mbaya.

Mimi niko na my brothers in diaspora (France). Euro 2024 usiwe surprised Pierre Kamau ama Oniangó akiwa kwa teamsheet ya France.

So far
[ATTACH=full]47358[/ATTACH]

Shinda hapo ukisema my brothers…Africans born and raised in europe and France in particular hate us Africans. These niggaz will look down upon u jus bcoz u are African. Kheri mlami mseh

…Nein! For today only …kina Payet!

Halt die fresse!!

Even Iceland fans complained that unlike England whom they beat, France didn’t come as a nation but a collection of Africa Union as France.

Leo i can’t make up my mind whether to support France or Germany. This was my pick for the final. My heart is for France, my brain tells me Germany.

Doch!

…weeeee @Jirani, niku baya

Unajua doch inamaanisha nini?