SCAM ALERT

Ebu look at how these people are scamming job seekers today.

The worst thing in the ad posted on olx they said specifically 3 women and one man under 24 years. 20-24. They want to scam people who have not even started making real money yet.

Then they are using gmail sasa kidogo kigo itakuwa [email protected]. Read the pdf thats when they as you for money. They even have the header.
[ATTACH=full]114692[/ATTACH] [ATTACH=full]114692[/ATTACH] [ATTACH=full]114693[/ATTACH]

UN? Smh

Ukisikia processing fee kaa chonjo

Bana alafu watu wa north eastern sijui kwa nini hao wanaambiwa wanalipa 1500

Coz allowance ni mob

Its because of the famous story about a fool and his money
[ATTACH=full]114702[/ATTACH] Sasa keti kwanza

Haha mi hawawezi nipata nilianza kutumia internet kuona ngwati class 5 najua wahuni wote hizi mtaa

How comes you are still a “Villager”, ama ndio unafika class six?

Buda c umetafuta hiyo shade mpaka ukarudi kuiedit incase sijaelewa, sikumaanisha hapa ktalk lakini ni sawa nikifika administrator kama ww ntakam unipatie certificate nikuwe nikionyesha watu wakiniuliza.

I see, but there is no point kuniita punda.

Haha sawa buda angukia hiyo sword

UN @ gmail? Sawa basi! ! :D:D:D