Nimepigiwa na hii number since juzi sijashika. Truecaller identifies the contact as SCAM. Take care
[ATTACH=full]355155[/ATTACH]
Mujamaa why dont you want us to be rich?? What if jamaa inakupigia uisaidie kushikanisha kafala fulani alafu ikulipe??
KCB have different agents who all you from different numbers. Lipa loan
nilipigiwa na hizi mbili jana,
this kneegrow 0736570486 benard Wafula, (last time it was a guy with a mwihoko accent) called to say he sent dineros my way by mistake and i should refund but keep 800 for me,this was the message" from safaricom"
[ATTACH=full]355205[/ATTACH]
[ATTACH=full]355208[/ATTACH]
like seriously,watu walipewa mikundu for brains? calling from the same number? akanishow eti safcom watacall kuniambia vile nitarefund.wanted to see how far the con game will get.“safcon” called and indeed they were like they got a refund request and i should do the necessary,saa hio najifanya duanzi ya kuingia jiji jana hadi nawashow vile nimekam kutafuta kazi na niko na 30k salo pale tao ya kuchunga ngamia pale el wak,hadi akacheka.
0202108080<----- hii ndio number. Too bad nilikua derailed coz nilikua nataka kuona ka watarusha “soo mbili hivi nifike tao kutoa dough kwa account flani”,it worked one time when a pwagu called my pwaguzi phone with this chieth.
Yaani huyo mchamaa, anasahau anaandika jina Iroch Kwa code ya Mpesa, :D:D:D could be his nickname.
Tombachieth kumbe unatumia redmi simu ya maskini hivi?
Lipa loan wacha kusumbua
nah man, Vivo1813 dual screen,nitakuambia mara ngapi?siko ligi yako ya monaco
[ATTACH=full]355214[/ATTACH][ATTACH=full]355215[/ATTACH]
Tomba yeye, hio monaco ungeweka in quotes ndo hio khasia iione visuri
mbona maskini mnakuaga na hasira hivi 24/7 :D:D
sababu nyi watu wa kushare sabuni na wazazi munachoma picha sana
Hii hasira mngekua mnai channel kwa miradi za kutafuta pesa kenya hatungekua na deni ya mchinku
You should be addressing the hasslas na majamaa wa hurrubaro sio mimi
Ukichanganya umaskini na wifu utakufa mapema muchamaaa
kufeni pekee yenu,nitafungua franchise ya kinyozi pale russia na china:D
Ghasia russians hawanyoi fudhii
ma dame lazma,umetembea tembea najua,ushaiona dame wa east europe na fudhii? siwananyoa? i will step in as “boris the trimmer”
:D:D