Sauti Sol - Kenyans are Uneducated!

[ATTACH=full]132075[/ATTACH]

Wueeh! Pale Mukuru kumewaka moto mbaya! So Sauti Sol posted that and Kenyans did not take it lightly! . Uthamaki Defense Forces and Lakeside Tibim Association wamekuja full force, for once they a team.

But these guys have a point though! Kutoka asubuhi mpaka jioni kuna majamaa hapa huwezi kosa kwa ktalk. Expert analysis vile kutaenda 26th, sijui constitution iko na kasororo, bla bla bla!! Let make call you guys out! STUPID KEYBOARD WARRIORS!!!

If you cant contribute in the process, shut it. Kama hauko kwa hizo demonstrations, hizo rallies tafadhali nyamaza. Some even have the audacity to tell us watavuta watu kazi!!! NONSENSE!!!

Kwa hayo machache, acha niendee Samosa mbili moto!!

9 Likes

Hapo wamesema ukweli, lakini of late msenge mwenye anarun hiyo account ya Sauti Sol amekua na kiburi flani

1 Like

poked

Wamesema RWNBEPOOORRRRRRRRRRKKKKKKKKKKKKKKKK

5 Likes

tofauti ya kati ya @Soprano na wale wasee hukaa hilton discussing politics all day ni gani?

@Soprano tusafishie mecho leo na kienyeji ama leta hekaya moja hata kama ni ya vile ulibinja dem wako wa kwanza. Tumechoka na post zako za siasa

1 Like

pia twitter walipewa masweeep

That handle name and avi had me lagging we got to have a fat Morty in the futures series…
[ATTACH=full]132084[/ATTACH]

1 Like

@Touchlyrics nimeona ii comment uko,…
Its funny how you think Tibim and Tialala are irrelevant but you think singing “NISHIKE” while exposing your naked bodies are very relevant to Kenyans…
Stick to stupid hairstyles,dressing and whack music but remember Tibim and Tialala give people more hope and a future to this country…
One day your kids ask you what you did for this country please show then the NISHIKE video!!
Kubaff!!!

1 Like

middleclass problems, wengine wametishia kuwacha kazi pia!

I saw that nikakimbia kununua popcorn…

Kuna ingine msee anasema Never mix the word TIBIM and TANO TENA in the same sentense.

The comments though, acha tu. Nimecheka yangu yote

2 Likes

[ATTACH=full]132087[/ATTACH]
That font had a lot of salt but he right bout their shit tier talent but also for a call to rally to be a track that just goes tibim…tialala and just stating names of the principles is just lazy and uninspired- also taking advantage of the mob mentality of a POLITICAL GROUP.
[ATTACH=full]132089[/ATTACH]

But for real watu wa nasa if it you were to win mgesherekea na TIBIM!!
[ATTACH=full]132088[/ATTACH]

1 Like

nimeiona ni moto sana

Mijungu alikataa kuwacha kazi

1 Like

Grab popcorns uende Twitter wamepost the same. The comments are just amazing.
& I agree with you, they have a point.

1 Like

Iko wapi link? Tutacrick!

Wamepigwa masweep but they have a point. It is getting very old just fighting over two people who dont know who tf you are. UoTP though…

Pewa like