Saudi Arabia Wamesema Kufa Dereva kufa Makanga

With all these investments, will they get any return? Ama wanajaribu kisafisha their kingdom?
Major League soccer pale kwa @Aka_mpole walianza hivi but hawakupata return

2 Likes

Woke people call that “sportswashing”. Yaani wanajenga jina na reputation

1 Like