Saturday Trivia: Mtaona Cha Mtema Kuni...............

Kwani mtema kuni aliona nini?

Your frivolous, funny, naughty thoughts…

Labda aliona ujinga kama hii unanika hapa.silly

1 Like

Wakanyama naona unachukua mahala pa Kabuda - kuwa attention-seeking hoe, eh? Nenda ukamue Anko Uwes utulie…

1 Like

Uga guka?

uzee bila akili ni kitu mbaya sana

Poa. Slow Sato though…

Wakanyama ni nini ma pms. Kwani walimu wakigoma biashara ya nyama inmeenda down.

MTU AMEZEEKA NA HANA AKILI UTAAMBIA NINI WATOTO WAKO NA ATWOLI

1 Like

There was a photo of " cha mtema kuni" hapa just the other day. In it was a man atop a tree, a lion chasing him, a croc in the water and the branch he was sitting on had a snake crawling towards him.

:D:D:D:Dkuweni wapole

1 Like

Uwes, sasa Anko. Kwanini umekasirika hivo?

juu unamumezea mate na yeye hachezi hio ligi,tafuta @junkie ama @Kidinyi hao ndio wako hiyo ligi

Hehe, aliona a wide-on