Saturday Round up EPl Roundup

Round up: Manchester imeshinda lakini tulikuwa tunajua itafanyika, liverpool wakashinda by the grace of mane na tunaomba arsenal ishindwe na ni half time, Leicester walishinda sijui kama ni relevant tena na tunajua man inashinda kikombe. Chicha akafunga mbili na nilimchuja fantasy nikaweka kanono manze afunge city moja tu enyewe, lakini bado southampton ilishinda. Kanu akaingia akafunga na akachujwa in 12 minutes kama ameacha west brom ikishinda burnley. Ningekuwa yeye badala ya kuchill kuandika juu yake ningetoka hiyo field venye joker akiwalk away ile explosion in dark night ya kwanza. Na josh king ameona asianze kunga bado na ye ndio nilikeep faith na yeye kwa team yangu. Bournemouth 0 Watford 2