Sato huwa siku ya kuingia kwa vumbi

Elders mu support mwalimu, kufuga kitu yoyote mashinani si rahisi watu wako na wivu

[ATTACH=full]496398[/ATTACH]

Ndio nataka kuuliza kwani huko hakuna wezi,pale mashinani waizi waBaluyha na WaKisii huziiba usiku wa manane

Wanaiba sometimes colluding na kijana wa kuzichunga. Walipea ng’ombe yangu ya gredi mshumari kwa chakula ikadedi. Kumbe huyo boy huwa na butcher chini ya maji

Damn,pole

Farming ni high risk investment mwalimu, kaza kamba.

Tell him rustling is better.

No kidding…

[ATTACH=full]496408[/ATTACH]

Weka mtu hii kwenye makalio na umpeleke hospitali akapakwe iodine.

Heshima itadumu kijiji mzima.

How much feed do they consume per day?

Wivu iko karibu kila mahali

I pity neighbors wa @uwesmake , the dog raped anything with a hole , si ng’ombe si kuku na mitoto ya shule

Kwani mashinani yako iko Kawangware kwa wakisii na wabakuhya?

Hapo sasa mwarimo

Pole sana mwalimu. Naona ukulima iko sawa

Kwa kina @mikel majamaa wamejazana huku

mwalimu fanya biashara na u provide kuibiwa , huezi ibia kama huna , but lazima upush hawa watu to the limit .

Ziko almost 500 consuming 30kg per day

Nang’ang’ana bana lakini vile jsk alipea sebo green light wameflood market na mayai kutoka UG

Tuseme unakula less than 9k salo

Hongera. Mimi ni mfugaji wa mbuzi na ng’ombe